Amri Kumi – Amri ya Nane

Kifungu cha Biblia: Kutoka 20:15  
“Usiibe.”

Ndugu wapendwa, baada ya kusikiliza mahubiri hadi Amri ya Saba, je, mmekuwa mkizishika Amri Kumi? Mnaweza kusema kwa uhakika kwamba hamlitaji bure jina la Bwana Mungu wenu na kwamba mnaishika siku ya Sabato kuwa takatifu?

 Ikiwa hamjui maana za kiroho za amri hizi, huenda wengi wenu mkadhani mnazishika ilhali mnafanya kinyume chake. Tunashukuru sana kwamba sasa tunaweza kuelewa mapenzi ya Baba Mungu. Leo tutaangalia Amri ya Nane: “Usiibe.” 

Amri hii ina maana za kiroho zinazotofautiana na mtazamo wa dunia. Ninaomba katika jina la Bwana mafundisho haya yawatajirisha ninyi nyote na kuwafanya watoto wa Mungu wasio na lawama wala dosari.

   Soma Zaidi     

About the Speaker

President of Manmin World Mission.   - Chairperson of the United Holiness Church of Jesus Christ. 

Rev. Dr. Soolin Lee has been invited in many countries for mission work; including Honduras, Israel, Kenya and Russia. She leads Divine Healing meetings once after every 2 months. Whereby countless people receive healing and answers to their problems; testifying that the bible is true, through various works of the Holy Spirit.

Related Sermon